This project brought to you by:

Lugha Nyingine

Asante kwa ahadi yako...

643380
watu
kutoka
97
nchi

wataalikwa Spark Mitsubishi.


Mradi huu ni kujenga juu ya kasi ya mabadiliko kwa kuwaunganisha watu wote duniani kote maswali manne ya kuchunguza maono ya kimataifa kwa njia mpya mbele Sisi kisha kutumia sanaa na muziki kushiriki maono kwamba pamoja na ulimwengu.

Chochea Mageuzi

Watu kutoka nchi zaidi ya 97 wamejibu maswali manne ya kuchunguza maoni yao kuhusu ulimwengu bora. Baada ya kufanya  uchambuzi  wa kwanza wa majibu, maneno matatu ambayo yalikuwa yanajitokeza mara kwa mara katika maeneo mengi duniani (kwa utaratibu wa umuhimu) yalikuwa ni: MSAADA - MAISHA - MABADILIKO. Wabunifu kutoka nchi zote duniani wanatayarisha uzinduaji wa tamasha la sanaa na muziki mnamo tarehe 20 Disemba ili kusaidia mabadiliko ya maisha ... yawe bora. Jiunge nasi

 Wasanii, wanamuziki na watu wabunifu duniani kote:

Tarehe 20 Disemba 2012, MSAADA MAISHA MABADILIKO!

 

Fanya Ubunifu Wako wa Sanaa au Muziki:

Weka sahihi hapa uchangie ubunifu wako katika tamasha la kimataifa la sanaa 2012.

Tutaweka kazi zako za kisanii katika tovuti, maonyesho ya sanaa, ma-blog, redio, televisheni na sehemu zingine ili kuhakikisha yanaonekana, yanasikilizwa na yanasisimua watu wote duniani. 

Bonyeza hapa ili usome zaidi.

Bonyeza hapa ili ujiandikishe na uweze kuchangia ubunifu wako katika tamasha la kimataifa la sanaa 2012.

 

Jibu Maswali 4 ili Uchangie Maoni Yako ya Dunia Bora:

Kama una nia ya kubadilishana maoni yako ya dunia bora kwa maandishi, bado tunaendelea kupokea majibu ya maswali manne ya kimataifa ambayo yanafafanua maoni yetu ya pamoja ya dunia bora zaidi ...

 

Bonyeza hapa ili ujibu kwa ujumla maswali manne.

 

Njia Zingine za Kushiriki:

Mshiriki

Bonyeza hapa kama unawakilisha Chama Kisicho cha Serikali, shirika au mtu mashuhuri ambaye angependa kushirikiana nasi.

 

Tafrija

Bonyeza hapa kama ungependa kujibu maswali manne na marafiki zako kwa kutayarisha tafrija ya "Sweet Spot" yaani "Sehemu Bora".

 

Elimisha

Bonyeza hapa kama wewe ni mwalimu anayetaka kujibu maswali manne kwa ujumla au kufanya ubunifu wa sanaa na darasa lako!

 

Pata vifaa

Tusaidie kueneza ujumbe.  Bonyeza hapa  ili ununue fulana, kikombe, mfuko au vitu vingine vizuri vilivyoandikwa "MSAADA MAISHA MABADILIKO" . (Mapato YOTE yatasaidia ushiriki wa sanaa, muziki na mawazo yanayobuniwa duniani kote kwa ajili ya tamasha la Kimataifa la Sanaa litakalofanyika tarehe 20 Disemba.)  

Do you like this page?

Showing 1 reaction

published this page 2012-04-22 16:11:55 -0400